Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

TAASISI YA USULUHISHI WA MALALAMIKO NA TAARIFA ZA KODI

"Haki na Usawa"

Kanuni na Masharti

Karibu kwenye tovuti yetu. Mtu yeyote anayefikia tovuti hii (mtumiaji) anawajibika, na kukubali, kanuni na masharti yaliyowekwa katika notisi hii ya kisheria. Iwapo mtumiaji hataki kubanwa na kanuni na masharti haya, mtumiaji huyo hatatakiwa (onyesha, hatatumia, hata hawilisha (hatapakua) au vinginevyo kunakili au kusambaza maudhui yaliyomo kwenye Tovuti hii.

Matumizi na haki miliki

Watumiaji wanaweza kuangalia, kunakili, kupakua kwenye kinakilia, kuchapa na kusambaza maudhui ya Tovuti hii, au sehemu yoyote ya maudhui, kwa taarifa zisizo za kibiashara au kwa madhumuni ya marejeo tu.

Watumiaji wanashauriwa kuhakiki taarifa yoyote kwenye Idara ya Serikali inayohusika, au vyanzo vingine, na kupata ushauri wowote wa kitaalamu unaofaa kabla ya kutumia taarifa iliyotolewa kwenye Tovuti hii. Haki zote za maadili na haki nyingine zozote za Tovuti hii au chombo kingine chochote cha kisheria ambacho kwamba maudhui yake yamo ndani ya Tovuti hii ambayo haikutolewa kwa madhumuni hayo, zimehifadhiwa.

Angalizo la Dhamana

Taarifa zilizomo ndani ya Tovuti hii imekusudiwa kukupa taaria ya jumla tu kuhusu mada mahususi au mada mbalimbali na haikukamilisha kabisa mada hiyo/hizo.

Viungo kwenda tovuti nyingine zilizojumuishwa ndani ya Tovuti hii, vimetolewa kwa kurahisisha matumizi kwa wananchi tu. TOST haiwajibiki na maudhui au kuaminika kwa tovuti zilizounganishwa.Hatukuhakikishii upatikanaji wa kurasa zilizo unganishwa wakati wote.

Taarifa zilizoelezwa ndani ya Tovuti hii zinaweza kunakiliwa bure.