Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

TAASISI YA USULUHISHI WA MALALAMIKO NA TAARIFA ZA KODI

"Haki na Usawa"

Dira na Dhamira

Dira

Kuwa kitovu huru na mahiri cha ubora katika kushughulikia malalamiko ya kodi kwa ajili ya kuchochea maendeleo ya kijamii na kiuchumi.

Dhima

Kutatua malalamiko ya kodi kwa haki, usawa na ufanisi ili kuimarisha ulipaji kodi  wa hiari.