Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

TAASISI YA USULUHISHI WA MALALAMIKO NA TAARIFA ZA KODI

"Haki na Usawa"

Naibu Katibu mkuu Wizara ya Fedha MHE. ELIJAH MWANDUMBYA ametembelea Banda la Ofisi ya Usuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi

Imewekwa: 04 Jul, 2024
Naibu Katibu mkuu Wizara ya Fedha MHE. ELIJAH MWANDUMBYA ametembelea Banda la Ofisi ya Usuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi

Naibu Katibu mkuu Wizara ya Fedha MHE. ELIJAH MWANDUMBYA ametembelea Banda la Ofisi ya Usuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi lililopo ndani ya Jengo la Wizara ya Fedha na kupata ufafanuzi juu ya mambo mbalimbali yanayofanywa na ofisi hii, ikiwa ni Siku ya 6 ambayo pia ni siku ya Ufunguzi wa maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) ambayo yamefunguliwa rasmi na Rais wa Msumbiji Mhe. FILIPE NYUSI akiwa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN