Watumishi wa TOST watoa elimu Sabasaba
Watumishi wa TOST watoa elimu Sabasaba
Imewekwa: 25 May, 2023

Watumishi wa Taasisi ya Usuluhishi wa Malalamiko naTaarifa za Kodi (TOST), wakitoa elimu kwa wageni waliotembelea banda la Taasisi hiyo wakati wa maonesho ya Kimataifa ya Biashara Sabasaba, yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam.