Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh. Rosemary Senyamule amezindua kampeni ya Elimu kwa Umma katika Mkoa wa Dodoma
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh. Rosemary Senyamule amezindua kampeni ya Elimu kwa Umma katika Mkoa wa Dodoma
Imewekwa: 04 Jun, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh. Rosemary Senyamule amezindua kampeni ya Elimu kwa Umma katika Mkoa wa Dodoma. Kampeni hizo zinafanywa na Ofisi ya Msuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi kuanzia 30 Mei 2024 hadi 6 Juni 2024 katika Mkoa wa Dodoma.