Mbunge wa CCM Viti Maalum Karatu Mkoa wa Manyara, Mh. Cecilia D. Paresso akipata Elimu toka kwa Mtaalamu
Mbunge wa CCM Viti Maalum Karatu Mkoa wa Manyara, Mh. Cecilia D. Paresso akipata Elimu toka kwa Mtaalamu
Imewekwa: 04 Jun, 2024

Mbunge wa CCM Viti Maalum Karatu Mkoa wa Manyara, Mh. Cecilia D. Paresso akipata Elimu toka kwa Mtaalamu wa kushughulikia Malalamiko, ndani ya Banda la TOST katika viwanja vya Bunge Dodoma, 3 Juni 2024.