Mbunge wa CCM toka Mkoa wa Katavi, Mhe. Eng. Isack Aloyce Kamwelwe na Mbunge wa CCM Mkoa wa Manyara Mhe. Flatei Massay wametembelea Banda la TOST
Mbunge wa CCM toka Mkoa wa Katavi, Mhe. Eng. Isack Aloyce Kamwelwe na Mbunge wa CCM Mkoa wa Manyara Mhe. Flatei Massay wametembelea Banda la TOST
Imewekwa: 04 Jun, 2024

Mbunge wa CCM toka Mkoa wa Katavi, Mhe. Eng. Isack Aloyce Kamwelwe na Mbunge wa CCM Mkoa wa Manyara Mhe. Flatei Massay wametembelea Banda la TOST katika viwanja vya Bunge, Leo 3 Juni 2024.