Mbunge wa CCM toka Jimbo la Muhambwe Mkoa wa Kigoma, Mh. Florence G. Samizi ametembelea banda la TOST
Mbunge wa CCM toka Jimbo la Muhambwe Mkoa wa Kigoma, Mh. Florence G. Samizi ametembelea banda la TOST
Imewekwa: 04 Jun, 2024

Mbunge wa CCM toka Jimbo la Muhambwe Mkoa wa Kigoma, Mh. Florence G. Samizi ametembelea na kupata maelezo toka kwa wataalamu wa kushughulika na Malalamiko ndani ya Banda la TOST katika viwanja vya Bunge Dodoma, 3 Juni 2024.