Kaimu Msuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi Bw. Godwin J. Barongo akitoa Wasilisho
Kaimu Msuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi Bw. Godwin J. Barongo akitoa Wasilisho
Imewekwa: 04 Jun, 2024

Kaimu Msuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi Bw. Godwin J. Barongo akitoa Wasilisho kwenye Kikao cha Mkuu wa Mkoa Dodoma Mh Rosemary Senyamule wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Elimu kwa Umma katika Mkoa wa Dodoma.