Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

TAASISI YA USULUHISHI WA MALALAMIKO NA TAARIFA ZA KODI

"Haki na Usawa"

UZINDUZI WA TAASISI YA MSULUHISHI WA MALALAMIKO NA TAARIFA ZA KODI

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Taasisi ya Usuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi (TOST), uliyofanyika katika ukumbi wa Kambarage, Wizara ya Fedha, Dodoma. Taasisi hiyo imeanzishwa baada ya Bunge la Tanzania, tarehe 13 Juni 2019, kupitisha Sheria ya Fedha ya mwaka 2019, iliyoanza kutumika tarehe 1 Julai 2019, ambapo Sheria hiyo ilifanyiwa marekebisho Sheria ya Usimamizi wa Kodi, Sura ya. 438 ili kuanzisha Taasisi hiyo inayojulikana kama “Taasisi ya Usuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi - Tax Ombudsman Service Tanzania”